My website
+255-755102992, singidattc@gmail.com S.L.P 589 Singida

SINGIDA TEACHERS COLLEGE

prime education network

STC NEWS AND DOCUMENT

(ALL UPDATE FROM STC)

KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

CHUO CHA UALIMU SINGIDA.

     Chenye usajili wa wizara CU-73 na                         

       Usajili  wa nacte TLF_010.

     

KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO 

Kwa KOZI zifuatazo.  Na walengwa wafuatao.2020/2021

 

 WALENGWA

 1. *WALIMU*wa shule za msingi Tanzania

 2. *Wahitimu kidato* Cha *nne*4.& 6.

 3.   Wenye vyeti vya grade A.wasiokazi.

 

      *Kozi zinazotangazwa*

  1.Certificate in early childhood education.(nursery teacher's certificate) (Ualimu wa elimu awali na maelezi ya watoto wadogo) 1year.

 

SIFA: 

wahitmu kidato cha4,  Division 4: point  (26,27,28,29,30) 

au aliyefaulu masomo manne kwa alma D.

 

2. *Diploma in primary teachers education,

   Sifa*Walimu kazini*  na wenye vyeti vya grade A wasio kazini  wenye Grade A. wanakaribishwa, masomo yanatolewa kwa na masafa.

 

2. GRADE A.Teachers certificate in primary schools, wahitmu wa kidato cha 4/2020, wanaruhusiwa kuleta maombi.

sifa wahitimu wa kidato  Cha 4. division  (1-3) mwaka wowote.

 

3.Diploma in secondary special education 

  (pre -service) walimu wahitmu wasiokazini

 

WALENGWA.

Wahitimu kidato Cha sita. Div1_3 wanakaribishwa

__________________________________

 *maelekezo Zaidi* piga simu hii

                  0755102992.

News

ADMISSION FORM 2020

Posted On: : 2020-07-06

APPLICATION WINDOW FOR 2020 IS ACTIVE

Posted On: : 2020-07-06

FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO KOZI ZA UALIMU

Posted On: : 2020-08-31

KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

Posted On: : 2021-02-14

Downloads

KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO.

Posted On: : 2021-02-14

JOINING INSTRUCTION 2021

Posted On: : 2021-04-03

FEE STRUCTURE FOR 2021

Posted On: : 2021-04-03

FORM FIVE JOINING INSTRUCTIONS

Posted On: : 2021-04-03

FOMU YA ULIMU ELIMU AWALI NA MALEZI YA WATOTO

Posted On: : 2021-04-03

FEE STRUCTURE FOR 2021

Posted On: : 2021-04-03

FOMU YA UALIMU ELIMU MSINGI NA SEKONDARI

Posted On: : 2021-05-04